MCHANGO WA MAREHEMU ADOLPH RICHARD MAGOKE!!GONE TOO SOON!

NIMESIKITIKA SANA KUSIKIA KIFO CHA MAREHEMU ALDOPH NA KWAKELI IMENIUMA SANA KUJUA KUA HAYUPO TENA NASI. I AM GOING TO MISS YOU MY FRIEND.

NURU THE LIGHT NA MDOGO WAKE ADOLPH..,


NURU SAYS
KWAKWELI HIKI KIFO IMENIUMA SANA NA MPAKA SASA WADAU SIAMINI KAMA HAYUPO MPAKA NIONE MAITI MAANA IKO SAFARINI KUFIKA PALE ATAKAPOLAZWA NA KUPUMZIKA MILELE NA MILELE EEH MUNGU ADOLPH I WISH NINGEKUWA NAWE DAKIKA ZAKO ZA MWISHO .,
PLEASE  KWA WANAOTAKA KUTOA MCHANGO MNAWEZA WEKA MCHANGO WENU KWENYE ACCOUNT NR 5201-0119517

SE-BANKEN

NURU MAGRAM..,

NASHKURU SANA KWA WALE AMABAO MMESHAWASILIANA NA MIMI NA KUNIA MCHANGO WENU..,MBARIKIWE


NA KWA WALE WALIOPO TANZANIA MNAWEZA ACHA MCHANGO WENU DUKANI KWA SARAH SUMMERTRENDS NAMANGA KARIBU NA BEAUREAU DE CHANGE..,AHSANTENI WOTE MLONIANDIKIA NA KUNIPIGIA SIMU KWA MANENO YENU NA MCHANGO WENU NASHUKURU SANA.,
MUNGU AMLAZE MAREHEMU MALI PEMA PEPONI
R.I.P ALDOPH